Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

Let s say you are living with your parents then always talks shit to you....what will you do? Will you shout to them? "Utaweza kuishi na mume wewe",huwezi kukaa na mwanamke una kasoro" in fact in my side naonaga laana tosha!!! Vipi ungekuwa wewe ujaoa/ujaolewa then wazazi wanakutamkia maneno ya kukuchulia utachukua hatua gani?
Mama's boy
 
Bado pia wana uwezo wa kuniambia chochote kwa kuwa mzazi anaongea kile anachokiona toka kwako, angalia wenzako wanasemwa?,jichunguze kisha badilika kila mzazi anataka mtoto wake afanikiwe juu ya k2,hivyo kwa mzazi kunisema naona sawa ila yapasa nibadilike tu koz,fikiria mara mbili wewe unae waona wazazi wako wote wawili hebu fikiria wale ambao wazazi wao wametangulia mbele ya haki,fikiria tena wale ambao hawaja bahatika kumuona baba na mama zao,shukuru mungu unasemwa ndugu me naona kwa mzazi ni ki2 cha thamani hapa duniani.

HESHIMU WAZAZI
 
Hua ni kawaida tuu kwa wazazi wetu nao walikuzwa hivyo, kipindi nasoma kila hatua walisema siwezi kufaulu ingawa nilikua vizuri darasani lakini hawakuamini,
Look who is laughing now...
Ni kawaida wala usihofu, dingi yangu aliwahi kusema bila kalamu siwezi kula
 
Una umri gani kijana, kama umri wa kujitegemea umekufikia na bado unataka kulishwa kwa shikamoo basi hiyo ni halali yako.

Halafu unaonekana kama unapenda kuishi ki slay Queen hivi wakati we ni mtoto wa kiume.

Kama mimi ndio ningekuwa mzazi wako basi ningekuzaba makofi ya maji baridi.
Yaani mitoto mizembe sana hii unafundishwa na wazazi wako una shout??
 
Simpo. Tafta ule uzi wa kuhamia ghetto uone experience za watu wengine ujifunze. After hapo tafta kodi hata kichele hama nyumbani! Unaeza lala njaa lakn utalala kwa amani
 
Jiongeze wewe, wanataka uondoke hapo kwao ukapange kwako
 
Let s say you are living with your parents then always talks shit to you....what will you do? Will you shout to them? "Utaweza kuishi na mume wewe",huwezi kukaa na mwanamke una kasoro" in fact in my side naonaga laana tosha!!! Vipi ungekuwa wewe ujaoa/ujaolewa then wazazi wanakutamkia maneno ya kukuchulia utachukua hatua gani? I m living with my parents but I hate their behaviors cause they are speak negatives to me about my future life....!!!!
Prove them wrong!
 
Tafuta kazi ama ujiajiri uhamie kwako !!

Kuna wazazi unaweza kuishi nao mpaka una 35 wala hawanaga shida ila kuna wazazi inabidi uwahame harasa sana iwezekanavyo ukiweza kujitegemea.
 
Kama unaishi kwa wazazi suluhisho ni kuhama tu, ila kujibizana na mzazi sikushauri asee
 
Mara nyingi wanasema ukweli,jitafakari kama kuna kasoro zozote ubadilike
 
Lets say you are living with your parents then always talks shit to you.... What will you do? Will you shout to them? "Utaweza kuishi na mume wewe", huwezi kukaa na mwanamke una kasoro" in fact in my side naonaga laana tosha!!! Vipi ungekuwa wewe ujaoa/ujaolewa then wazazi wanakutamkia maneno ya kukuchulia utachukua hatua gani? I m living with my parents but I hate their behaviors cause they are speak negatives to me about my future life....!!!!
Jibu dogo tuu, la kukusaidiaa!! Hama nyumbani, kaa mbali na wazazi uende ukawasalimie tuuu!! Ukiona wanakukera ujue umesharukuwa mkubwaa.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo Huna maendeleo, huna pesa ndo kawaida ya wazazi wengi walivyo ,fanya usepe hapo katafute pesa mbele kama wakiume
 
Back
Top Bottom