Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,327 Reaction score 4,374 Oct 6, 2022 #21 Hizo ni laana zinakuwndama , unaweza kuzigeuza ungali mapema Waheshimu wazazi, soma upepo waelewe wanapenda Nini fanya kwa bidii wanayoyapenda wataanza kukubariki
Hizo ni laana zinakuwndama , unaweza kuzigeuza ungali mapema Waheshimu wazazi, soma upepo waelewe wanapenda Nini fanya kwa bidii wanayoyapenda wataanza kukubariki
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 1,016 Reaction score 1,016 Oct 7, 2022 #22 Kikubwa hapo ni kujichunguza uko na tabia gani hakuna mzazi anaweza kukuongelesha mambo ya ovyo bila tatizo Ya wezekana uko na shida Ningekuwa mimi ningeendelea kuwaheshimu tu wazazi
Kikubwa hapo ni kujichunguza uko na tabia gani hakuna mzazi anaweza kukuongelesha mambo ya ovyo bila tatizo Ya wezekana uko na shida Ningekuwa mimi ningeendelea kuwaheshimu tu wazazi