Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
!!! Tuambie hapa
I
I
I
I
I
I
comment...
I
I
I
I
I
I
comment...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Watu" wakisahau huwanunii..??🙄Ni siku ya kawaida, sifanyi chochote cha tofauti. Utofauti utatokea kwa watu wengine waamue kufanya kitu kwa ajili yangu. Lakini wakisahau au wasipofanya kitu basi ni siku ya kawaida kama nyingine.
Namshukuru Mungu kwa maombi.
huwa nakumuka siku yenyewe ikiwa imeshapita
mabaharia huwa hatuwaziKama mm[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu muhimu hawajawahi kusahau siku yangu ya kuzaliwa hata kama hawatafanya chochote."Watu" wakisahau huwanunii..??🙄
Wengine hata kwenye hizo 20's hatuna mpango na mabirthday Sasa sijui ndo tutazifanya uzeeni, unakutana na Mimi nikiwa kwenye menopause lkn nakukuruka na makadi ya birthday 😂😂😂😂 kwa ujumla mi si mtu wa sherehe sipatani nazo kabisaNadhani mtu ukigonga 45+ siku ya kuzaliwa haina furaha, sijui lakini nahisi hivyo.
Ile tu nilivyofika 35 sikufurahia hata, I see myself going down, getting old, kupoteza nguvu etc. Kwa 20s kuenjoy birthday ni sawa, kwa wazee Idk.