Huwa unafanya nini inapofika siku yako ya kuzaliwa

Huwa unafanya nini inapofika siku yako ya kuzaliwa

Ni siku ya kawaida, sifanyi chochote cha tofauti. Utofauti utatokea kwa watu wengine waamue kufanya kitu kwa ajili yangu. Lakini wakisahau au wasipofanya kitu basi ni siku ya kawaida kama nyingine.
"Watu" wakisahau huwanunii..??🙄
 
Mimi siku hiyo kama ni week day huwa nachukua off ili nijirushe na wapendwa wangu. Pia huwa simsahau kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuniweka hai afya njema na maisha ambayo nayafurahia sana pia kumuomba aendelee kufanya hivyo kwa miaka mingine mingi ijayo.
 
"Watu" wakisahau huwanunii..??🙄
Watu muhimu hawajawahi kusahau siku yangu ya kuzaliwa hata kama hawatafanya chochote.
Wakati mwingine natamani wasahau ipite kama siku ya kawaida lakini bahati mbaya hawasahau.
Ikitokea wakisahau ni sawa kwangu, kila mtu ana mambo yake mengi ya kuzingatia zaidi ya kufikiria siku yangu ya kuzaliwa. Naamini hivo.
 
Nasubiri mtu wa kwanza kuniwish kwa wale wanaojua nimpe zawadi maana sipost sehem yeyote regrding my birthdate.

Ofcourse napenda good sms kutoka kwa wazazi.
 
Nadhani mtu ukigonga 45+ siku ya kuzaliwa haina furaha, sijui lakini nahisi hivyo.

Ile tu nilivyofika 35 sikufurahia hata, I see myself going down, getting old, kupoteza nguvu etc. Kwa 20s kuenjoy birthday ni sawa, kwa wazee Idk.
 
Dah wiki iliopita ilikua Birthday yangu. Aisee. Ya 2022 nitajitahidi nikumbuke.
 
First of all am giving thanks to God then siku inakua kama nyingine
 
Namkumbuka mama angu R.I.P...manake asiefunzwa na mama atafunzwa na ulimwengu
 
Namuomba Mungu niwe na mwisho mwema Kwa miaka ilobakia kuelekea kaburini na aniongoze Kwa rehma zake niwe miongoni mwa wale aliowaridhia insha'Allah.
 
Nadhani mtu ukigonga 45+ siku ya kuzaliwa haina furaha, sijui lakini nahisi hivyo.

Ile tu nilivyofika 35 sikufurahia hata, I see myself going down, getting old, kupoteza nguvu etc. Kwa 20s kuenjoy birthday ni sawa, kwa wazee Idk.
Wengine hata kwenye hizo 20's hatuna mpango na mabirthday Sasa sijui ndo tutazifanya uzeeni, unakutana na Mimi nikiwa kwenye menopause lkn nakukuruka na makadi ya birthday 😂😂😂😂 kwa ujumla mi si mtu wa sherehe sipatani nazo kabisa
 
Back
Top Bottom