Huwa unafanya nini kwenye maisha ili usiwe bored?

Huwa unafanya nini kwenye maisha ili usiwe bored?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Unaishi Tanzania, aidha mijini au vijijini. Huenda ni mwanachuo, unaenda chuo Jumatatu hadi Ijumaa, au umeajiriwa unaenda kazini Jumatatu hadi Ijumaa au umejiajiri, unafanya kazi muda unaotaka wewe

Ikifika weekend, sikukuu au likizo huwa unafanya nini usiwe bored? Activities gani ukizifanya zinakuondolea boredom na kukufanya ufeel alive?
 
Mimi ni mkulima wa nyama.I mean mfugaji wa wanyama na ndege.Ili nisiwe mwenye kujichosha na kuchoshwa baada ya mambo yangu:-

  • Naziruhusu nerves na ubongo kuwa huru na kuamua bila shuruti.
  • kugeuka na kuwa "of my own and self comedian".Furaha tu.Don't allow dhiki and matata to take an occupation in your single chamber of life.
  • Taking things as easily as I can.
  • Sipping and boozing refinery and "anointed water" all along the day without quarrels and counting.
 
Hizi ndio hobby zangu kuu ila lately nimekuwa less interested na movies, nyimbo nyingi ninazozipenda nimezisikiliza mara nyingi tayari pia JF mada za Tech zimepungua, hata ukianzisha wachangiaji wachache sana sikuhizi
Mimi nikiwa free naangalia ila nikibanwa na kazi siwezi kuangalia hata kidogo, miziki mpaka vibe lije na likija sio la kitoto!

Ukitaka wachangiaji waje uwe unawatag kabisa! Mfano sisi kwenye mada zetu za kijinga tunaitanaga wote!! Na tunachangia vizuri tu😃
 
Nasubiri comments za min -me na leo dada
Tunajipongeza namna hiii bwashee
20260503_140454.jpg
 
Napika mlo mzuri nakula na vipenzi vyangu.
Nakaa chini ya mti na karedio kangu pembeni pombe yangu, nacheza rhumba fujo tu
Nakagua maua yangu na kuyatengeneza.
Simuuzi kenge wangu ili tuzagamuane kwa Raha bila gubu.
Huyo ni Mimi na wikiend yangu. The Icebreaker
 
Back
Top Bottom