Hizi ndio hobby zangu kuu ila lately nimekuwa less interested na movies, nyimbo nyingi ninazozipenda nimezisikiliza mara nyingi tayari pia JF mada za Tech zimepungua, hata ukianzisha wachangiaji wachache sana sikuhiziMoviez, miziki na kushinda jf
Mimi ni mkulima wa nyama.I mean mfugaji wa wanyama na ndege.Ili nisiwe mwenye kujichosha na kuchoshwa baada ya mambo yangu:-Unaishi Tanzania, aidha mijini au vijijini. Huenda ni mwanachuo, unaenda chuo Jumatatu hadi Ijumaa, au umeajiriwa unaenda kazini Jumatatu hadi Ijumaa au umejiajiri, unafanya kazi muda unaotaka wewe
Ikifika weekend, sikukuu au likizo huwa unafanya nini usiwe bored? Activities gani ukizifanya zinakuondolea boredom na kukufanya ufeel alive?
Mimi nikiwa free naangalia ila nikibanwa na kazi siwezi kuangalia hata kidogo, miziki mpaka vibe lije na likija sio la kitoto!Hizi ndio hobby zangu kuu ila lately nimekuwa less interested na movies, nyimbo nyingi ninazozipenda nimezisikiliza mara nyingi tayari pia JF mada za Tech zimepungua, hata ukianzisha wachangiaji wachache sana sikuhizi
Tunajipongeza namna hiii bwashee