Hutaki kuchangamana na sisi wa IG na TikTok kwanini?Moviez, miziki na kushinda jf
Siwezi kujigawa na pia sipendi instagram sana kila nikiscroll mara pete za uchumba mara gwagon, mara watu wapo uchi arrghh tiktok kila ukiscroll ni gen zero tu! Pia sijawahi kuchangia mada za huko, picha siweki so naona nishinde zangu huku tu!Hutaki kuchangamana na sisi wa IG na TikTok kwanini?
Mimi Najizungusha X,JF,IG na TikTok mpaka nizimalize giza hili hapa.
Na kama Simba inacheza basi inanirahisishia siku.
Kuzagamua aanhhπ€£Jf YouTube movie box
TikTok na IG mwenyewe sijawahi ku post chochote..Ila unaweza kuibana hiyo mitandao ikulishe unachotaka.Siwezi kujigawa na pia sipendi instagram sana kila nikiscroll mara pete za uchumba mara gwagon, mara watu wapo uchi arrghh tiktok kila ukiscroll ni gen zero tu! Pia sijawahinkuchangia mada za huko, picha siweki so naona nishinde zangu huku tu!
Kuanzia darasa la kwanza nilikuwa nachora, nilichora sana picha za darasani za kufundishia walimu waliponipa hio kazi.Watu wenye vipaji mna raha sana. I wish I had one
Ooh duhh tatizo kule tumefollow watu tulosoma nao primary mpaka chuo, ndugu wa aina zote, inaniboa tu! Niliingia juzi nikakuta rafiki yangu kanunuliwa gari anatukana wenye wanaume wasio na pesa ya kununua gari! Mambo ya ajabu ajabu huko yananikera na zile confession zimekuwa nyingi zinalisha watu mambo mengi yatakayowaharibu kifikra!TikTok na IG mwenyewe sijawahi ku post chochote..Ila unaweza kuibana hiyo mitandao ikulishe unachotaka.
Mfano mimi TikTok ni entertainment tu,na IG ni elimu za hapa na pale ikiwemo za uwekezaji maana ma influencers wapo lukuki huko.
Vikija ambavyo huvitaki kama mauchiuchi unapiga zako not interested mpaka iwe ni mwendo wa unavyovitaka tu kwenye algorithm yako.
Hongera sana mkuu! Ungeshare na sisi baadhi ya michoro yako tafadhali..Kuanzia darasa la kwanza nilikuwa nachora, nilichora sana picha za darasani za kufundishia walimu waliponipa hio kazi.
Mfano wa picha ambapo nilichora when i was in primary school ni human evolution , hizo picha kwa ubora nilivyochora mwalimu wangu aliweka/kubandika kwenye ukuta nyuma ya darasa kwenye frame akawekea na lamination. Ajabu miaka ya karibuni nilienda hapo nikaikuta hio picha lile lile darasa nimesoma ni baada ya kupewa taarifa na rafiki yangu niliyesoma nae darasa moja ambae hivi sasa ana mtoto anasoma hiyo shule.
Kwa kumbukumbu zilizonirudia kidogo nilie baada ya kutizama ile picha iliyopo ukutani, nilikumbuka vingi sana, huyo mwalimu now ni marehemu, naamini kweli nilizaliwa na kipaji cha uchoraji, nimechora primary, secondary , advance hadi chuo.
Hivyo nikipata muda huwa nachora kwa sababu napenda, lakini nawaza kuja kufanya animations ya cartoons, hua najitafakari sana hiki kipaji changu siwezi kukiacha hivi hivi.
Nita share , lakini nita andaa uzi.Hongera sana mkuu! Ungeshare na sisi baadhi ya michoro yako tafadhali..
Hahaha,na kule watu wana tambo kwelikweli..Kama wewe ni mtu wa wivu unaweza kupata changamoto ya afya ya akili bure kwa kujiona si lolote si chochote kwa kuona wenzako wanavyofaidi mema ya dunia .Ooh duhh tatizo kule tumefollow watu tulosoma nao primary mpaka chuo, ndugu wa aina zote, inaniboa tu! Niliingia juzi nikakuta rafiki yangu kanunuliwa gari anatukana wenye wanaume wasio na pesa ya kununua gari! Mambo ya ajabu ajabu huko yananikera na zile confession zimekuwa nyingi zinalisha watu mambo mengi yatakayowaharibu kifikra!
Kubadili algorithm sio rahisi pia huwezi kumaliza vyote!
Kwakweli wivu sina labda wa maendeleo! Mambo ya kujipa stress na mafunzo hasi ndio kasheshe!Haha
Hahaha,na kule watu wana tambo kwelikweli..Kama wewe ni mtu wa wivu unaweza kupata changamoto ya afya ya akili bure kwa si lolote si chochote kwa kuona wenzako wanavyofaidi mema ya dunia .
π Eti mada zenu za kijingaMimi nikiwa free naangalia ila nikibanwa na kazi siwezi kuangalia hata kidogo, miziki mpaka vibe lije na likija sio la kitoto!
Ukitaka wachangiaji waje uwe unawatag kabisa! Mfano sisi kwenye mada zetu za kijinga tunaitanaga wote!! Na tunachangia vizuri tuπ
Nakwambia ukweli! Ukiwaita wanakurupuka hao!π Eti mada zenu za kijinga
Hakika mkuu, na sisi tunatamani kupata animations hapa TanzaniaKuanzia darasa la kwanza nilikuwa nachora, nilichora sana picha za darasani za kufundishia walimu waliponipa hio kazi.
Mfano wa picha ambapo nilichora when i was in primary school ni human evolution , hizo picha kwa ubora nilivyochora mwalimu wangu aliweka/kubandika kwenye ukuta nyuma ya darasa kwenye frame akawekea na lamination. Ajabu miaka ya karibuni nilienda hapo nikaikuta hio picha lile lile darasa nimesoma ni baada ya kupewa taarifa na rafiki yangu niliyesoma nae darasa moja ambae hivi sasa ana mtoto anasoma hiyo shule.
Kwa kumbukumbu zilizonirudia kidogo nilie baada ya kutizama ile picha iliyopo ukutani, nilikumbuka vingi sana, huyo mwalimu now ni marehemu, naamini kweli nilizaliwa na kipaji cha uchoraji, nimechora primary, secondary , advance hadi chuo.
Hivyo nikipata muda huwa nachora kwa sababu napenda, lakini nawaza kuja kufanya animations ya cartoons, hua najitafakari sana hiki kipaji changu siwezi kukiacha hivi hivi.
We hata saizi tu jaribu tu mada zetu hizi uone nyomi inavyojaa kwenye mfumo!Nitajaribu one day π
Weka picha kwa faida ya members!
Sawa tulia hapa hapa...Weka picha kwa faida ya members!