Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

HDS ndio inayokusumbua ilishawahi kuwa wengi Sana walianza hiv hiv
 
Hee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?

Mie ni mara chache sana kukutwa na hiyo hali na huwa haizidi siku moja nakuwa sawa
Kinachonikera ni kuwa hivyo halafu sababu huijui
 
First you need to embrace that feeling because it is part of you and it is ypur body responding to something.

Secondly the earlier you figure out the trigger, the better.

Treat yourself better, go to a spa, hit the club or take a vacay if you can. If you can't just hit the mall and spend your cash.

You will be back to the old you in no time.
 
Hee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?

Mie ni mara chache sana kukutwa na hiyo hali na huwa haizidi siku moja nakuwa sawa
Kinachonikera ni kuwa hivyo halafu sababu huijui
unaishi kwa tabu kubwa ambayo haielezeki
 
naomba Cv yako tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?

Mie ni mara chache sana kukutwa na hiyo hali na huwa haizidi siku moja nakuwa sawa
Kinachonikera ni kuwa hivyo halafu sababu huijui
Kama umeokoka(mkristo)omba kwa kunena kwa lugha,then utaona matokeo.
 
una kazi gani nayo mkuu?
napenda sana the way you narrate your thought it seems you have got a brain in your head if it is then i expect u are good woman around every human being around you so so productive

I used to have a smart girl that i know what am saying...........
 
Napataga hali kama yako pia ila mara nyingi nikiwa nimemmiss mtoto wangu au boyfriend. Mwanzoni sikua najua ni nini ila nikaja kugundua ikipita muda fulani sijaonana na mwanangu au boyfriend ndio hiyo hali hunipata. So sasa hivi hata kama nimetoka kuonana na mwanangu/boyfriend siku 2 zimepita nikianza kujisikia tu kukosa amani na kuanza kulia najua kumekuchaaa.

Mbio huwa zinanisaidia kurudi kawaida pia kuongea na hao watu wawili ninaohisi ndio wamenifanya nijisikie vibaya. Nikimaliza nasikiliza music na kuchat mpaka nalala kesho yake naamka mpyaaaaaaa.
 
napenda sana the way you narrate your thought it seems you have got a brain in your head if it is then i expect u are good woman around every human being around you so so productive

I used to have a smart girl that i know what am saying...........
Then what happened to the smart girl kabla hatujaendelea?
 
Nasali na kutafakari WHY najiskia hivi..,

na kuamua wayforward/nichukue hatua gani...

naendelea na ratiba za lazima tu mfano kwenda kazini, kufanya mazoezi,burudani nyumbani na kupumzika tu...
 
Hili ndo suluhisho but kulipata huwa ni kazi.Mimi pia hali hii hunijia sana sana.Unajikuta huelewekiii na huelewi ufanye nini?
Sasa nikijiona hibo kwanza naishi na Jack Daniel na Lite kadhaa.Soon nikianza hivo navuta chupa nakula kilaji,nafungulia music basi.Au nakunywa huku naangalia X then siku inaisha kirahisiii.Hapo naweza pata hata mood ya kutoka kwenda kunywa tena kidogo huko mbali,na nikamwita mdada mtu mzima aka (mashangazi) tutakunywa tunarudi home ni kuogeshana,kunyanduana livelive, mnofumnofu then tunalala.

Maisha yenyewe haya mafupi cha kujibana cha nini?
 
Hiyo yako ni coping mechanism ambayo sio healthy.

Wengi wetu huwa tunakwepa mambo yanayotusumbua kwa kuwa na namna flani ya kui downplay ile hali. Mfano use of drugs and alcohol, eating disorders, unhealthy patterns mfano too much sleep, sex, masturbation.... unaishia kuwa adduct wa kitu flani.

I have been there, I know it.
 
Then what happened to the smart girl kabla hatujaendelea?
nilizingua as a man sikumpa thamani na attention anayostahili as result upendo wake uka cease to exit, nilikuja kushtuka it was too late bembeleza sana lakini wapi nikajaza tu nyimbo za marioo kwa my phone
 
Hii hali ilimpataga dada yangu,mwanzo nilichukulia utani utani ila nilikuja kuamini nilipo pigiwa simu nikampokee jk Nyerere airport
 
Hii hali ilimpataga dada yangu,mwanzo nilichukulia utani utani ila nilikuja kuamini nilipo pigiwa simu nikampokee jk Nyerere airport
Usichukulie utani mkuu. Halafu ni kama inawapata zaidi wanawake sijui sababu ya hormones maana sisi ndi huwa tunaongoza kwa mood swings zisizo na sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…