Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?Inatokeaga, heri wewe Siku moja mimi inaweza dumu hata mwezi mzima..
Nafikiri ni ile hali ya kutojua solution ya jambo la kihisia..ilihali unataka lipate solution ASAP
unajikuta maisha hayana maana/uko down/huna amani tu sasa hii hali inakua ni mateso unajikuta tu unalia maana unaona wengine wanaendelea tu na maisha yao wewe uko kutwa una deal na illusion...
Huwaga ni tatizo la Kiroho
Kuchoka mazingira au maisha ya aina flani!
unaishi kwa tabu kubwa ambayo haielezekiHee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?
Mie ni mara chache sana kukutwa na hiyo hali na huwa haizidi siku moja nakuwa sawa
Kinachonikera ni kuwa hivyo halafu sababu huijui
naomba Cv yako tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23]First you need to embrace that feeling because it is part of you and it is ypur body responding to something.
Secondly the earlier you figure out the trigger, the better.
Treat yourself better, go to a spa, hit the club or take a vacay if you can. If you can't just hit the mall and spend your cash.
You will be back to the old you in no time.
Kama umeokoka(mkristo)omba kwa kunena kwa lugha,then utaona matokeo.Hee!mwezi mzima?unaishije na watu ukiwa hivyo?
Mie ni mara chache sana kukutwa na hiyo hali na huwa haizidi siku moja nakuwa sawa
Kinachonikera ni kuwa hivyo halafu sababu huijui
Ndio jirani..kama unahitaji maombi ya faragha na huduma ya injili kwa njia uimbaji usisite kunitafuta..Kwahiyo jirani unaimba kwaya sikuhizi?
That's good jirani nitakutafutaNdio jirani..kama unahitaji maombi ya faragha na huduma ya injili kwa njia uimbaji usisite kunitafuta..
una kazi gani nayo mkuu?naomba Cv yako tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23]
napenda sana the way you narrate your thought it seems you have got a brain in your head if it is then i expect u are good woman around every human being around you so so productiveuna kazi gani nayo mkuu?
Napataga hali kama yako pia ila mara nyingi nikiwa nimemmiss mtoto wangu au boyfriend. Mwanzoni sikua najua ni nini ila nikaja kugundua ikipita muda fulani sijaonana na mwanangu au boyfriend ndio hiyo hali hunipata. So sasa hivi hata kama nimetoka kuonana na mwanangu/boyfriend siku 2 zimepita nikianza kujisikia tu kukosa amani na kuanza kulia najua kumekuchaaa.Issue yangu imeanza ghafla jioni ya leo,nimejaribu kuwaza ni jambo gani haliko sawa naona kila kitu kipo sawa lakini moyo umekuwa hauna amani....sijui ni nini kinaenda kutokea
Nikicheza games playstation navuruga sana nikiwa off mood,sasa vile navyovuruga ile hali ya kuwa off mood inabadilika na kuwa hasira...naweza kuvunja hata PC
Then what happened to the smart girl kabla hatujaendelea?napenda sana the way you narrate your thought it seems you have got a brain in your head if it is then i expect u are good woman around every human being around you so so productive
I used to have a smart girl that i know what am saying...........
Hili ndo suluhisho but kulipata huwa ni kazi.Mimi pia hali hii hunijia sana sana.Unajikuta huelewekiii na huelewi ufanye nini?Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..
Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..
Hapo ungetafuta tiba za spiritual...
Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...
Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..
Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu
Hiyo yako ni coping mechanism ambayo sio healthy.Hili ndo suluhisho but kulipata huwa ni kazi.Mimi pia hali hii hunijia sana sana.Unajikuta huelewekiii na huelewi ufanye nini?
Sasa nikijiona hibo kwanza naishi na Jack Daniel na Lite kadhaa.Soon nikianza hivo navuta chupa nakula kilaji,nafungulia music basi.Au nakunywa huku naangalia X then siku inaisha kirahisiii.Hapo naweza pata hata mood ya kutoka kwenda kunywa tena kidogo huko mbali,na nikamwita mdada mtu mzima aka (mashangazi) tutakunywa tunarudi home ni kuogeshana,kunyanduana livelive, mnofumnofu then tunalala.
Maisha yenyewe haya mafupi cha kujibana cha nini?
nilizingua as a man sikumpa thamani na attention anayostahili as result upendo wake uka cease to exit, nilikuja kushtuka it was too late bembeleza sana lakini wapi nikajaza tu nyimbo za marioo kwa my phoneThen what happened to the smart girl kabla hatujaendelea?
Hii hali ilimpataga dada yangu,mwanzo nilichukulia utani utani ila nilikuja kuamini nilipo pigiwa simu nikampokee jk Nyerere airportNapataga hali kama yako pia ila mara nyingi nikiwa nimemmiss mtoto wangu au boyfriend. Mwanzoni sikua najua ni nini ila nikaja kugundua ikipita muda fulani sijaonana na mwanangu au boyfriend ndio hiyo hali hunipata. So sasa hivi hata kama nimetoka kuonana na mwanangu/boyfriend siku 2 zimepita nikianza kujisikia tu kukosa amani na kuanza kulia najua kumekuchaaa.
Mbio huwa zinanisaidia kurudi kawaida pia kuongea na hao watu wawili ninaohisi ndio wamenifanya nijisikie vibaya. Nikimaliza nasikiliza music na kuchat mpaka nalala kesho yake naamka mpyaaaaaaa.
Usichukulie utani mkuu. Halafu ni kama inawapata zaidi wanawake sijui sababu ya hormones maana sisi ndi huwa tunaongoza kwa mood swings zisizo na sababuHii hali ilimpataga dada yangu,mwanzo nilichukulia utani utani ila nilikuja kuamini nilipo pigiwa simu nikampokee jk Nyerere airport