Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

Mimi sisemi nikuambie kitu πŸ˜…naenda moja kwa moja
 
Akishasema hivo we unaingizia shida zako kabla hujamruhusu akwambie. mwambie hapa nimekamatwa na polisi natakiwa kulipa faini milioni 2 nilinunua kiwanja kimakosa
 
Akishasema hivo we unaingizia shida zako kabla hujamruhusu akwambie. mwambie hapa nimekamatwa na polisi natakiwa kulipa faini milioni 2 nilinunua kiwanja kimakosa
Duuuh
 
Sio kila anayesema nikuambie kitu atakachokisema ni kuhusu hela.
Sisi wengine tukisema hivo, kinachofuata ni kusema , β€œnimekumiss[emoji7]”
Uongo
 
Akishasema hivo we unaingizia shida zako kabla hujamruhusu akwambie. mwambie hapa nimekamatwa na polisi natakiwa kulipa faini milioni 2 nilinunua kiwanja kimakosa
Ukitaka kujua mwanamke hana msaada kwenye shida, atakujibu tu haya basi sawa!!
 
Akisema nikwambie kitu ... Mimi namwambia niambie

Akigusia tu swala la hela Ile text kama sijaifungua Nina hold afu mafuta chat yote!

Kuhonga ni kesi ya kuhujumu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…