Weeeh ogopa matapeli🤣Bado Bado kidogo, hata namna unavojibu bado hujakaa kishangazi
Shangazi habadilishi avatar mara Kwa maraWeeeh ogopa matapeli🤣
Daaaah!! Mbona mashangazi umetupa sifa mbaya kiasi hicho🙆🙆🙆Shangazi habadilishi avatar mara Kwa mara
Mshangazi hauna polite language
Mshangazi saivi upo bar unamuegemea ovyo ovyo kijana wa watu
Mmmh kumbe we ni mshangazi etyDaaaah!! Mbona mashangazi umetupa sifa mbaya kiasi hicho🙆🙆🙆
Ndiooooo.Mmmh kumbe we ni mshangazi ety
😂 Hapo 30 ndo kipindi wanatia huruma kinoma, nyodo zote kapuniAchana nae, hajakua huyo! Akifika 30 years atakuwa anajibu sms kwa wakati
Leo sijatoka nipo tu magetoni nimepoa!Mpaji Mungu mkuu mkuu leo wapi
Ntakua wa mwisho kuamini we ni mshangaziDaaaah!! Mbona mashangazi umetupa sifa mbaya kiasi hicho🙆🙆🙆
Sina neno ila tuu nimejikuta napata furaha moyoni mwangu sijui nina shida gani..😂😂😂😋Ndiooooo.
Aaaah leo mi nipo lose tuu aiseeLeo sijatoka nipo tu magetoni nimepoa!
😁Sema usipotoka siku inakua ndefu hapa ni kuperuzi naingia jf naingia insta nachungulia na fbAaaah leo mi nipo lose tuu aisee
Amini tu rafiki yangu, maana hamna namna🤣Ntakua wa mwisho kuamini we ni mshangazi
Sasa unakaa ndani kwani wewe kabati!! Toka hata Mungu akuone.😁Sema usipotoka siku inakua ndefu hapa ni kuperuzi naingia jf naingia insta nachungulia na fb
Itakuwa kwashakoo hiyo🤣Sina neno ila tuu nimejikuta napata furaha moyoni mwangu sijui nina shida gani..😂😂😂😋
Usije ingia tiktok tuu mkuu wangu😁Sema usipotoka siku inakua ndefu hapa ni kuperuzi naingia jf naingia insta nachungulia na fb
😋😋😂😂😂 Labda ila sizani itakua kuna kitu nimesikia ambacho moyo unapendaItakuwa kwashakoo hiyo🤣
Kitu gani hicho?😋😋😂😂😂 Labda ila sizani itakua kuna kitu nimesikia ambacho moyo unapenda