Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Yuko busy kuliko mtu yoyote duniani Bora hata huyo huyu wa kwangu unapiga anapokea halafu anakwambia nitakusitua baadae swali fikirishi je ana fanywa nini ama kufanya nini ambapo wala hajakusikiliza ulicho taka kumwambia unasubiria hata wiki hakusitui
acha nae, fanya utembee UDBS, uta🙏
 
Sasa kama anafanya kazi au yupo occupied kidogo kuna shida gani kwani..?
Wengine maswala ya chatting sio tu mambo yao. Yupo radhi akupigie kuliko kutuma tuma ma message. Kuwa tu mwelewa ila ukiona hauwezi kuvumilia, tafuta atakayekuwa anakujibu kwa wakati.
 
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.👇👇
Screenshot_20240609_093739.jpg

Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa🤣🤣🤣😂akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa👇👇
Screenshot_20240609_094149.jpg
 
Back
Top Bottom