Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Shangazi..πππKitu gani hicho?
Sijawahi tap hicho kiapplicationUsije ingia tiktok tuu mkuu wangu
Chonde chonde πππ
Akina odo wanajibu kwa voice note, hawana muda na machapishoAchana nae, hajakua huyo! Akifika 30 years atakuwa anajibu sms kwa wakati
Hahahaha nimefrahi kweliHalafu unamwambia mbona kimya hvy my π
Kule uchizi mwingi sanaSijawahi tap hicho kiapplication
Nlitoka mahangaiko saa 11 mambo ya foleni za hapa na pale nkafika geto saa Moja nikawa sielew elewi hata pa kwenda....share location tukaruke majokaSasa unakaa ndani kwani wewe kabati!! Toka hata Mungu akuone.
Sawa totoo.Shangazi..πππ
Anyway sikupingi! Siku hz hata binti wa 31yrs na yy anajiita mshangaziAmini tu rafiki yangu, maana hamna namnaπ€£
Niko huku ushagoo tunakunywa togwa.Nlitoka mahangaiko saa 11 mambo ya foleni za hapa na pale nkafika geto saa Moja nikawa sielew elewi hata pa kwenda....share location tukaruke majoka
Sifanyi hayo mambo kabisa, i am too old for that.Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA
Anajiita au mnawaita!!Anyway sikupingi! Siku hz hata binti wa 31yrs na yy anajiita mshangazi
2002 TumeshakuaTafuta hela dogo
sasa wewe umemtumia "Mbn kmy bae ama nakxmbua?" alafu unategemea akujibuπππ
labda kama wote ni wa 2002
Mm natumiaga sana jf mara chache instaKule uchizi mwingi sana
Kama hapa ww ndo unajitia mshangazi lakini sisi raia wa tabaka la kati tunakuona kabisa we bado mbichiAnajiita au mnawaita!!
Yuko busy kuliko mtu yoyote duniani Bora hata huyo huyu wa kwangu unapiga anapokea halafu anakwambia nitakusitua baadae swali fikirishi je ana fanywa nini ama kufanya nini ambapo wala hajakusikiliza ulicho taka kumwambia unasubiria hata wiki hakusituiWale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Duuuh π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊSawa totoo.
We badala upalilie ndoa upo bize na togwaNiko huku ushagoo tunakunywa togwa.
Hiyo inaitwa kumtupa jongoo na mti wakeDuuuh π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Hadi nimechoka kwa kweli haya bana πππ
Nakazia βοΈ βοΈMwanamke huyo hana hisia na wewe.
Kuna mwanaume anamjibu chap .
Shtuka we simp.
We ni backup option, futa namba, anza upya.
Ety totoo serious mkuu ...Hiyo inaitwa kumtupa jongoo na mti wake