Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

acha nae, fanya utembee UDBS, utaπŸ™
 
Sasa kama anafanya kazi au yupo occupied kidogo kuna shida gani kwani..?
Wengine maswala ya chatting sio tu mambo yao. Yupo radhi akupigie kuliko kutuma tuma ma message. Kuwa tu mwelewa ila ukiona hauwezi kuvumilia, tafuta atakayekuwa anakujibu kwa wakati.
 
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.πŸ‘‡πŸ‘‡
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaaπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…