Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Na nyie nae mtupunguzie adhabu bas tukiongea mambo ya Hela unanichatisha mpaka nakosa mda wa kufanya mengine...nkikutumia tu ndo bas
Ukituma pesa sasa ndio angalau hata text zinajibika. Kuchatishwa tu "umeamka, umekula, umevaa nini, sijui tuma picha nikuone..." aaagggrrr zinakata stim balaa . Tunawapenda sana nyie pamoja na pesa zenu.
 
Back
Top Bottom