My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Share experience apa mwana MMU, imewahi kukukuta pale unakuta kuna mwanamke umemuelewa halafu unajaribu kumpa maelekezo hakuelewi, hamna jibu, hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu halafu mwamba ukijitathmini unajiona hiyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak unashangaa inakupaje mateso?! Mbaya zaidi unasikia mtaani huyo demu ni wa uma-anagawa mechi siyo kidogo.
Huwa unachukua hatua gani katika situation hii?
NB: Huu uzi hauna picha
Huwa unachukua hatua gani katika situation hii?
NB: Huu uzi hauna picha