My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Hi ilishanikutaga mwamba, kuna mtoto mmoja wakuitwa "Baby" alikuwa analiwa hadi na vinyozi ila mie gundu nae ni 100%Share experience apa mwana MMU; imewahi kukukuta pale unakuta kuna chupi umeielewa afu unajaribu kuipa maelekezo haikuelewi hamna jibu,hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu afu mwamba ukijitathmini unajiona iyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak unashangaa inakupaje mateso..na mbaya zaidi unasikia mtaani uyo demu ni wa uma anagawa mechi so kidogo
Huwa unachukua hatua gani ktk situation hii
NB:HUU UZI HAUNA PICHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa UTI nayo ni kitu ya kunyimana tena!?😅😅😅Share experience apa mwana MMU; imewahi kukukuta pale unakuta kuna chupi umeielewa afu unajaribu kuipa maelekezo haikuelewi hamna jibu,hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu afu mwamba ukijitathmini unajiona iyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak unashangaa inakupaje mateso..na mbaya zaidi unasikia mtaani uyo demu ni wa uma anagawa mechi so kidogo
Huwa unachukua hatua gani ktk situation hii
NB:HUU UZI HAUNA PICHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba zake nipo mfaranyaki hapaUnanikumbusha machungu ya Leah wa kule mfaranyaki songea. Nilimpenda mpaka mwisho wa kupenda lkn wapi... Hua inatokea hiyo just take it easy and move on!
Yaani Mimi nikionesha interest demu akanipa kisogo hata sitongozi maana ataniharibia CV yangu napita kule na maisha yangu maana nimeokoa hela zangu zisipotee😋Unanikumbusha machungu ya Leah wa kule mfaranyaki songea. Nilimpenda mpaka mwisho wa kupenda lkn wapi... Hua inatokea hiyo just take it easy and move on!
Ungemwambia pesa unazo akibless nyapuu unapotea bila kumpa risiti mkuu[emoji3][emoji3]Kuna shangazi moja mtaani kwetu amefungasha hapo nyuma usipime afu kiuno nyigu.
Nilimletea mazoea akawa kama ana chomoa hivi hataki mazoea kabisa anasema ameolewa, mwamba nikamzimia data nikawa nampita bila salamu na wala hata simuangalii kabisa.
Siku moja akashoboka, “ww kaka mbona umekuwa hivo unapita bila salamu” nikamwambia ww si umeolewa bana hata mm sitaki usumbufu
Huwezi amini kitu alichoniambia mkuu, akanichana live “tatizo leo nyie vijana mnazunguka sana, mm najua unachotaka ila utanipa pesa”?
Nyege zote ziliruka nikaona ni malaya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
So kwmb labda anakua anakuonea huruma usipate umeme ila anakua kakuelewaUkiona hivyo ujue hajakupenda.
Anagawa uchi kwa anaowapenda tu.
Sura huna, pesa huna. Kila kitu huna, mfupi una kitambiii afu unataka kutafuna papuchi? WE ULISKIA WAPI?
Sasa apo mwamba unakua na shida gani au haijawah kukwambia sababu ya kukufungia viooUnanikumbusha machungu ya Leah wa kule mfaranyaki songea. Nilimpenda mpaka mwisho wa kupenda lkn wapi... Hua inatokea hiyo just take it easy and move on!