Huwa unajisikiaje mwanamke anayekusumbua halafu kuna jamaa wanakula kirahisi?

Kuna mmoja nilimtongoza nikawa nae kwenye mahusiano kwa muda wa siku nne. Siku ya tano akanambia "tusipotezeane muda bhana, we kesho njoo na hela tukalale" Nyege zote zikamwagika nikakimbia

Sasa hivi nimekuwa na ukame, nataraji kurudisha mashambulizi
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Mzee wangu mzabzab hua anawaita Mashetani

Sasa we mtu kashawahi kupiga story na shetani we utamwambia nini, si anafanya anachojisikia akipata mbuyu unaomfaa yeye anaenda kupoa hapo au ule msemo wa kila shetani na mbuyu wake unadhani amelengwa nani?
 
Escort kwenye ubora wake, huyo ni muuza matunda tena itakua anauza matunda pendwa yote yale ya mti wa uzima pamoja na yale ya mti wa kujua mema na mabaya yote atakua anayapiga bei bila huruma

Kua makini
 
Mwanamke ni kama askari, hana shida na watu waliotulia.
 
Ndo pigo zao... Anasema kaolewa ili aliwe kisela tu, usimgande.
 
Siku hizi ni kupeana UTI tu... Na nyingine ukute ni siyo utelezi tena, ukavu kama ardhi ya Khartoum
Aiseeeee mkishapewa ndio mnaanza kusema hivo😆😆😆wakati kwenye hiyo ardhi ya Khartoum ulimwaga hadi ubongo😆😆
 
Ilinitokeaga wakati naanza mapenzi ni vile mwanamke akijua unamuhitaji sana kuonesha unamtaka hasa iyo lazima itokee..kingine akiona hana chochote anaweza pata kwako inachangia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…