Mwana Dodoma
Member
- Aug 29, 2015
- 40
- 42
Aaah wapi... Kuna nyingine hakuna hata kumwaga ubongo... Ni vile tu ndo msosi ushatengwa bas inabidi tu uliwe...🙃🙃Aiseeeee mkishapewa ndio mnaanza kusema hivo😆😆😆wakati kwenye hiyo ardhi ya Khartoum ulimwaga hadi ubongo😆😆
Unashukuru mungu, kwan inawezekana mungu amekuepusha na magonjwaShare experience apa mwana MMU, imewahi kukukuta pale unakuta kuna chupi umeielewa halafu unajaribu kuipa maelekezo haikuelewi, hamna jibu, hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu halafu mwamba ukijitathmini unajiona hiyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak unashangaa inakupaje mateso?! Mbaya zaidi unasikia mtaani huyo demu ni wa uma-anagawa mechi siyo kidogo.
Huwa unachukua hatua gani katika situation hii?
NB: Huu uzi hauna picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila vijana wa mama Samia mna mengi nyieeee khaaaaa… haya bana we kula zako chakulaAaah wapi... Kuna nyingine hakuna hata kumwaga ubongo... Ni vile tu ndo msosi ushatengwa bas inabidi tu uliwe...🙃🙃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mrengwa wa kulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona hivyo ujue hajakupenda.
Anagawa uchi kwa anaowapenda tu.
Sura huna, pesa huna. Kila kitu huna, mfupi una kitambiii afu unataka kutafuna papuchi? WE ULISKIA WAPI?
Aya ya mwisho ina ukweli aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndiyo maana wengi hushangaa kwa nini ni ma hb na wana sifa za kiume ila mademu wanawakataa. Kumbeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Women are the sweet people on Earth when they are SEXUALLY attracted to you !!.
Ukiachana na Wanawake wanaojiuza... Mwanamke atakuvulia chupi endapo tu ,endapo tu Umemfanya avutiwe na wewe KINGONO .
NOTE,,, Kuna aina Fulani ya Maisha weee Mwanaume ukiyafikia, au Mwonekano Fulani hivi 'High Classic '........ Ukiwa navyo hivo , Hata Wanawake wenyewe wanajistukia, wanakua wanahisi unawatania yaan umeenda kuwapima, na wao wanajiona ni wa kiwango ya chini, wanaona wewe unafaa madem wakali zaidi ....sasa mwanamke wa hivi anaweza kukuzungusha sanaaa !!. .
Absolutely chief...... kuna demu mmoja nishawahi kumuhitaj ila akawa kama haamini vile. View attachment 2348497Women are the sweet people on Earth when they are SEXUALLY attracted to you !!.
Ukiachana na Wanawake wanaojiuza... Mwanamke atakuvulia chupi endapo tu ,endapo tu Umemfanya avutiwe na wewe KINGONO .
NOTE,,, Kuna aina Fulani ya Maisha weee Mwanaume ukiyafikia, au Mwonekano Fulani hivi 'High Classic '........ Ukiwa navyo hivo , Hata Wanawake wenyewe wanajistukia, wanakua wanahisi unawatania yaan umeenda kuwapima, na wao wanajiona ni wa kiwango ya chini, wanaona wewe unafaa madem wakali zaidi ....sasa mwanamke wa hivi anaweza kukuzungusha sanaaa !!. .
Mkuu umeongea point sana mwenye kuelewa atakuelewa.Mwanamke ni kama askari, hana shida na watu waliotulia.
[emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeeee mkishapewa ndio mnaanza kusema hivo[emoji38][emoji38][emoji38]wakati kwenye hiyo ardhi ya Khartoum ulimwaga hadi ubongo[emoji38][emoji38]
Huyu jamaa bhana ati na yeye anacheka[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BinSalum kumbe we chotara? Nitafutie pisi moja niioe basi. Naiahidi kuilisha maziwa na asali.Absolutely chief...... kuna demu mmoja nishawahi kumuhitaj ila akawa kama haamini vile. View attachment 2348497View attachment 2348498
Nyuzi za mbunyeee na ulimbwende, utelezi nk picha ni LAZIMA narudia tena PICHA ni LAZIMAShare experience apa mwana MMU, imewahi kukukuta pale unakuta kuna mwanamke umemuelewa halafu unajaribu kumpa maelekezo hakuelewi, hamna jibu, hamna kupokea simu zako hata ukikutana nayo road haijibu hata salamu halafu mwamba ukijitathmini unajiona hiyo chupi ni mechi yako ya ushindi unabak unashangaa inakupaje mateso?! Mbaya zaidi unasikia mtaani huyo demu ni wa uma-anagawa mechi siyo kidogo.
Huwa unachukua hatua gani katika situation hii?
NB: Huu uzi hauna picha
[emoji23][emoji23][emoji23]. Duuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BinSalum kumbe we chotara? Nitafutie pisi moja niioe basi. Naiahidi kuilisha maziwa na asali.