Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 613
- 860
Mhhhhhh ila kweli sasa unashauri tufanyaje
Hivi umeelewa coment yake au mimi ndo nimeielewa vibayaKwanini uliacha iendee ...hatuchagui mabus sikuhizi tunapanda lolote mradi tufike
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa na tumeelewanaHivi umeelewa coment yake au mimi ndo nimeielewa vibaya
Tukachukue mwendokasi chitchatMhhhhhh ila kweli sasa unashauri tufanyaje
Tukachukue mwendokasi kule chit chat, au pm kama sio jf ya kikubwa
Ok sawa
Samahani Mkuu Nilikosea, Type ErrorAnapoku salia kwani mimi ni marehemu
Jibu moja mujarabu kabisa
Samaritan nakusalimia mimi
Halafu uje umjibu mtoa mada
I like it
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Jibu moja mujarabu kabisa
Nakusalimia carbamazepine. Nijibu kwanza wewe umejisikiaje?
Mimi nimefurahi sana[emoji4][emoji4]
Haya mjibu mtoa mada
Inategemea nani ananisalimia.
Nimekusalimia mimi
Bado majibu sijayapata ya kuridhisha, Mimi kwa upande hunifanya kutafakari juu ya huyu mtoa salamu mara nyingi but so mara zote. Vp kwenu wanajf?
sawa nimekupata.Si ndio maana tumekwambia inategemea nani anakusalimia kwa jina lako?
Kama tumezoeana sana hautaniita kwa jina langu, kutakua na namna ya kusalimiana tuliyoizoea ambayo hata ukiniita jina bado sitapata mshtuko wowote.
Kuna mtu akikusalimia kwa majina mawili lazima uache ulichokua unakifanya umsikilize.
Kwa mfano uko na shughuli zako kisha unasikia habari yako bwana Nyani Ngabu lazima kidogo ugeuke na kutaka kujua hii ni salam ya namna gani.
Japo mara nyingi unajisikiaje unaposalimiwa inategemea na hali ya msalimiaji na sio anataja jina gani.