Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhsanteni Mlochangia Mawazo Yenu
Mh!ina raha sana hasa ukiitwa na mtu ambaye kwake umekufa ukaoza
Salama Tu, Wewe Je?Mkuu At Calvary habari za asubuhi?
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡Salama Tu, Wewe Je?
Kwa kweli, inatia faraja mtu anapofanya ivyo. Anaonesha kuwa anajali ata siku nyingine unaweza tamani kwenda tena.Kwa mimi kama mwezeshaji mkuu wa mambo ya Customer Service Mgt huwa nawasisitiza washiriki wangu kuwa kama akija mteja wake au hata wakikutana mahali au hata akimpigia simu, kama anamjua jina basi ni vema amsalimie kwa kutaja jina lake. Kwa mfano: Good morning Mr. Castr. Kwanza inamfanya mteja anajisikia vizuri, na endapo ni mteja ambaye ulikuwa umeshawahi kumhudumia, anapata faraja kuona kuwa kumbe bado unamkumbuka.
Hata watumishi wa umma uko mlipo kwenye maofisi yenu, jitahidini kuwasalimia wateja wenu (wa ndani na nje) kwa majina yao.
Samahani, Laakini nimeogopa kupretend😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Mbona mimi hujaitikia salamu kwa kutaja jina langu?!!!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Mhhhhh hili basi ordinary
Au luxury
Weee usiniambie mkuuu ikisimama tu unapanda
Kwanini uliacha iendee ...hatuchagui mabus sikuhizi tunapanda lolote mradi tufike
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama Tu, Wewe Je?Mkuu At Calvary habari za asubuhi?