Huwa unajisikiaje pale mtu anapokusalimia kwa kutaja jina lako?

Kwa mimi kama mwezeshaji mkuu wa mambo ya Customer Service Mgt huwa nawasisitiza washiriki wangu kuwa kama akija mteja wake au hata wakikutana mahali au hata akimpigia simu, kama anamjua jina basi ni vema amsalimie kwa kutaja jina lake. Kwa mfano: Good morning Mr. Castr. Kwanza inamfanya mteja anajisikia vizuri, na endapo ni mteja ambaye ulikuwa umeshawahi kumhudumia, anapata faraja kuona kuwa kumbe bado unamkumbuka.
Hata watumishi wa umma uko mlipo kwenye maofisi yenu, jitahidini kuwasalimia wateja wenu (wa ndani na nje) kwa majina yao.
Akhsanteni Mlochangia Mawazo Yenu
 
Kwa kweli, inatia faraja mtu anapofanya ivyo. Anaonesha kuwa anajali ata siku nyingine unaweza tamani kwenda tena.
 
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Mbona mimi hujaitikia salamu kwa kutaja jina langu?!!!!🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Samahani, Laakini nimeogopa kupretend
 
Mhhhhh hili basi ordinary
Au luxury
We panda tu mradi tufike

Sent using Jamii Forums mobile app
Weee usiniambie mkuuu ikisimama tu unapanda
Kwanini uliacha iendee ...hatuchagui mabus sikuhizi tunapanda lolote mradi tufike

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutapigwa ban [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom