Huwa unajisikiaje pale mtu anapokusalimia kwa kutaja jina lako?

Bado majibu sijayapata ya kuridhisha, Mimi kwa upande hunifanya kutafakari juu ya huyu mtoa salamu mara nyingi but so mara zote. Vp kwenu wanajf?
 
Si ndio maana tumekwambia inategemea nani anakusalimia kwa jina lako?

Kama tumezoeana sana hautaniita kwa jina langu, kutakua na namna ya kusalimiana tuliyoizoea ambayo hata ukiniita jina bado sitapata mshtuko wowote.

Kuna mtu akikusalimia kwa majina mawili lazima uache ulichokua unakifanya umsikilize.

Kwa mfano uko na shughuli zako kisha unasikia habari yako bwana Nyani Ngabu lazima kidogo ugeuke na kutaka kujua hii ni salam ya namna gani.

Japo mara nyingi unajisikiaje unaposalimiwa inategemea na hali ya msalimiaji na sio anataja jina gani.
 
sawa nimekupata.

Akhsante mkuu!
 
Back
Top Bottom