TAFITI zinaonesha yafuatayo:
Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao.
Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule?
Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh?
Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?.
Jamaa huyu ananionaje mimi?
Wanamke huwa wanaishiwa "Confo" (confidence). Huanza kujilinganisha uzuri wao kwa ex wa mume. Ukisikia anakuuliza swali hivi mume/mpenzi wangu ulipenda nn kwa ex wako? Wanaume jamani.!! Ujue kuna kitu kazidiwa na ex.. Yaweza kuwa rangi, shepu, kimo, sura, ama akili. Hivyo anauliza Hilo swali kupooza machungu.
Na saikolojia ya wanawake hubadilika na hujikuta wakimsonya ex bila kutarajia.
Vipi kwa upande wako huwa unajisikiaje?