Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Napenda nikila nao pamoja tule kisinia bas huyu mkubwa utasia baba unakula sana pumzika kwaza ananishika mkono 🥰🥰 nimewamiss sana watoto wngu ngoja nimaalize kazi nirud homView attachment 2662887
Huwa nakula nao pamoja na kuinjoi
Huwa nina mwambia umejitahidi sana, ila unaweza ukafanya zaidi ya hapa, kwa jinsi ninavyomsuka binti yangu atajakua feminist mmoja mkubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hello Africa
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana zaid huwa namfanyia killed kitu ambacho anakipenda sana mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu
Ahahahaha haifai ivyo, legeza kidogoHuwa nina mwambia umejitahidi sna ,ila unaweza ukafanya zaidi ya hapa ,kwa jinsi ninavyomsuka binti yangu atajakua feminist mmoja mkubwa sna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna fomula, hata ufanye uzuri gani akiamua kuwa mbaya atakuwa TU. Kwani Adam Na Hawa walifanyiwa nini hadi wakaasi?Hello Africa
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana zaid huwa namfanyia killed kitu ambacho anakipenda sana mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu
Kwanza huyo ni mwanao wa ngapi kuzaliwa...??Hello Africa
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana zaid huwa namfanyia killed kitu ambacho anakipenda sana mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu
2Kwanza huyo ni mwanao wa ngapi kuzaliwa...??
Ebu tuanzie hapo kwanza, maana nisije nika komenti kumbe huyo ni festi boni...😊
Inabidi awe ngangari mkuu kuna wimbi la vijana wengi wa ovyo wa kizazi chake,.Ahahahaha aifai ivyo.legeza kidgo
Barikiwa sana momZawadi, especially examination results.
Nilikuwa nawaapangia 1 mpaka 3 zawadi.
My girl was always number 1 mwisho akaniambia mama buy me laptop kwa kuwa 1 will be my results.
I thank God for her.
Unaonekana good motherZawadi, especially examination results.
Nilikuwa nawaapangia 1 mpaka 3 zawadi.
My girl was always number 1 mwisho akaniambia mama buy me laptop kwa kuwa 1 will be my results.
I thank God for her.
Hongera sna mkuuNamnunulia chakula kizuri anachokipenda
Pamoja mkuuHongera sna mkuu
Hello Africa,
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
Mpe maneno pia yana saidia kujenga akili yakeInategemea na jinsia, wakiume huwa simpongezi kwa maneno, namkeletea tu vitu anavyopenda au nampeleka sehem itayo mpendeza
Namfundisha kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu. Namfanyia kile kitu moyo wake unapenda. Kisha namwambia najua unaweza kufanya zaidi ya hivyo usiniangushe.Hello Africa,
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
Inapendeza sana kunfundisha zaidi kuhusu MunguNamfundisha kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu. namfanyia kile kitu moyo wake unapenda. Kisha namwambia najua unaweza kufanya zaidi ya hivyo usiniangushe.
Lakin ni vyema kumpongeza mtto kama ufany ivyo anza kufanyaHakuna fomula, hata ufanye uzuri gani akiamua kuwa mbaya atakuwa TU. Kwani Adam Na Hawa walifanyiwa nini hadi wakaasi?
Au shetani aliyeishi in the presence of God himself, kwenye utukufu wa Mungu na bado akawa mbaya
nasisitiza hakuna fomula.