Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Nampongeza kwa zawadi nitakayojaaliwa, na kumtia moyo kuwa unaweza kufanya zaidi na zaidi. Ikitokea kaharibu namtia moyo pia kuwa anaweza.
Inapendeza kufanya kwa hali zoteNampongeza kwa zawadi nitakayojaaliwa, na kumtia moyo kuwa unaweza kufanya zaidi na zaidi. Ikitokea kaharibu namtia moyo pia kuwa anaweza.
Bado taarifa yako mkuu 🤣Ahsante kwa taarifa...
NzuriHello Africa,
Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
Kwahiyo umpongezi mtoto wako?Nzuri
Mimi katika ujuaji Wangu sikuwahi kusifiwa
Japo nilikua na bidii sana Darasani
Nampongeza sana hata mtu yeyote akifanya jambo jema ntampa pongezi.Kwahiyo umpongezi mtoto wako?
Hongera kwa kufanya ivyo ni vyemaNampongeza sana hata mtu yeyote akifanya jambo jema ntampa pongezi.
NzuriHongera kwa kufanya ivyo ni vyema