Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

Nampongeza kwa zawadi nitakayojaaliwa, na kumtia moyo kuwa unaweza kufanya zaidi na zaidi. Ikitokea kaharibu namtia moyo pia kuwa anaweza.
 
Hello Africa,

Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
Nzuri
Mimi katika ujuaji Wangu sikuwahi kusifiwa
Japo nilikua na bidii sana Darasani
 
Zawadi na kumtoa out ila juzi kampa mtu mimba mpaka nawaza nimpe zawadi au nimuoneshe umafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…