grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Huyu mbwa alikuwa anacheza naye mbona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mbwa alikuwa anacheza naye mbona
Mi naogopa nyoka sana hata kumuona sipendi kabisa
Ongea na mwalimu wake vizuri kalamba mbingo huyoHawa mmbwa tunaowafuga majumbani Nadhani wanao waiba ni hawa hawa wanao wa train.
siwezi tafuta Trainer anae train Mbwa kwa kingereza staki kusikia shenzi hawa, Mbwa wa bongo yyte (hawa special) ukimwambia Sit Down linakaa chini kweli.
Trainer almost all wanatumia Common language kufundishia wanyama.
Siamini inakuaje mwizi anaiba Mbwa wakali kiasi kile,kama ni uchawi basi BONGO kuna wachawi waliopitiliza.
Siogopi,wala mendeJongooo vipi
HahahSiogopi,wala mende
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiogope mbwa wangu hang'ati..........................
Mbwa wake [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wala si kazi kuiba mbwa,Hawa mmbwa tunaowafuga majumbani Nadhani wanao waiba ni hawa hawa wanao wa train.
siwezi tafuta Trainer anae train Mbwa kwa kingereza staki kusikia shenzi hawa, Mbwa wa bongo yyte (hawa special) ukimwambia Sit Down linakaa chini kweli.
Trainer almost all wanatumia Common language kufundishia wanyama.
Siamini inakuaje mwizi anaiba Mbwa wakali kiasi kile,kama ni uchawi basi BONGO kuna wachawi waliopitiliza.
Kuna mbwa na mbwa hawa mbwa koko hawatakiwi hata waguse mlango ila kuna rott gs bulld na jamii nyingine nyingi wanafurahisha hata wakiwa ndaniUuuh unakaaje na mbwa ndani?
Mie Hapana kwa kweli
Au alikuwa anamaanisha nyoka wa mgodini! HahaaaaNilikua na rafiki yangu tunatembea, ghafla kuna mwanamke mmoja akapiga ukelele, tukashtuka kuna nini? "nyokaa" "nyokaa", tukasogea pale, jamaa wakaanza kumpiga yule nyoka mawe, nyoka akaingia kwenye kimti kwa chini amejificha, basi akatokea jamaa mmoja hivi mlevi na mwenzie anasema "msimpige macheni, nyoka mimi haniumi, nyoka wananijua muacheni nimkamate", basi tukaona ngoja leo tuone miujiza.
Ila tukamtahadharisha yule mlevi asifanye mchezo ile ni hatari.
Jamaa akasogea pale nyoka ameacha mkia, jamaa akamkamata mkiani kamnyanyua hakuwa mkubwa sana, yule nyoka akawa kichwa kipo chini jamaa kashika mkiani, yule nyoka akageuza kichwa kuelekea kwenye mkono wa jamaa, jamaa si akaona anang'atwa, hajamrushia huku tulipokua, acha watu wasambae , asee yule jamaa tulimfukuzaje?
Kama mwizi, jamaa pombe iliisha alikuwa anakanyaga kibati hatukumkamata yule nyoka sijui alipotelea wapi...
Hio kauli yako imenikumbusha hio moment, hizo kauli siziamini kabisa...[emoji23][emoji1787]
HahaaaaKama ni mdeni wako hamfungii
Nauza mbwa
HahahWala si kazi kuiba mbwa,
Itakuwa mwizi alikuwa anakuja kucheza/kuwaweka karibu[emoji23]
Wengine tuna ki smati[emoji16],tukija kwako kama si paka ni mbwa lazima anigande[emoji23], home hatufugi paka lkn kuna paka wa jirani kahamia nyumbani,ilikuwa kila nikienda kwao ananiganda nikirudi ananifuata,imekuwa mazima hiyo, Mbwa nao wahamiaji
Wewe hautaki?
Ana Nini Cha mno?, Mbona unalazimisha sana nimnunue?Wewe hautaki?
HahahSisi Wahehe awe Pitbull, Germany nini sijui, Majura sie tunaona fursa ya mishkaki hii hapa.