Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

Majuzi kati Home wameibwa German Sherphard 1 matata kali sana

Na li pitbull Jike 1 kali mara 20 ya Lile sherphard..

Mwizi wa Wale Mmbwa hadi na kesho kutwa haijaeleweka aliwachukua kwa style gani. ila ndio hivyo

Mbwa wanao ogopwa na walikua hawana Utani, Wameibwa wote wawili.

Tanzania nimeamimi sio Nchi ni kisiwa flani hivi chenye watu wenye sifa za pekee mno.
 
Hawa mmbwa tunaowafuga majumbani Nadhani wanao waiba ni hawa hawa wanao wa train.

siwezi tafuta Trainer anae train Mbwa kwa kingereza staki kusikia shenzi hawa, Mbwa wa bongo yyte (hawa special) ukimwambia Sit Down linakaa chini kweli.

Trainer almost all wanatumia Common language kufundishia wanyama.

Siamini inakuaje mwizi anaiba Mbwa wakali kiasi kile,kama ni uchawi basi BONGO kuna wachawi waliopitiliza.
 
Ongea na mwalimu wake vizuri kalamba mbingo huyo
 
Wala si kazi kuiba mbwa,

Itakuwa mwizi alikuwa anakuja kucheza/kuwaweka karibu[emoji23]

Wengine tuna ki smati[emoji16],tukija kwako kama si paka ni mbwa lazima anigande[emoji23], home hatufugi paka lkn kuna paka wa jirani kahamia nyumbani,ilikuwa kila nikienda kwao ananiganda nikirudi ananifuata,imekuwa mazima hiyo, Mbwa nao wahamiaji
 
Uuuh unakaaje na mbwa ndani?

Mie Hapana kwa kweli
Kuna mbwa na mbwa hawa mbwa koko hawatakiwi hata waguse mlango ila kuna rott gs bulld na jamii nyingine nyingi wanafurahisha hata wakiwa ndani
 
Au alikuwa anamaanisha nyoka wa mgodini! Hahaaaa
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…