sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Acha ushamba.JK & Mzee Ruksa wangekataa zile hongo za shangingi na kasri walizopewa kwa hisani ya Bi Mkubwa, kweli hiyo shikamoo nisingeipokea. Lakini kwa mwendo huu, upepo ni kwamba ukipewa chukua, if possible, kwa mikono yote miwili na miguu pia. Tanzania bila ushamba inawezekana.