Huwa unapotezeaje kumpa shikamoo mtu usiye kuwa na uhakika anastahili shikamoo?

Acha ushamba.
 
Wachagga hawapendi uwape shikamoo ila wanapenda kuzitoa shikamoo kama maandazi yaliyokosa soko.

Mi nikikushindwa kujua salami ya kukupa naku 🙋‍♀️
 
Shikamoo ni salamu ya kitumwa iliyopitwa na wakati.
 
Teh teh ulitaka kuandika kitu flan ila umejikanyaga mwenyew na tukaelewa.



 
Wachagga hawapendi uwape shikamoo ila wanapenda kuzitoa shikamoo kama maandazi yaliyokosa soko.

Mi nikikushindwa kujua salami ya kukupa naku [emoji2320]
Wachaga hawapendi ukubwa[emoji16]
 
Unaweza pia kusema "heshima yako .....(kaka/bro, mkuu, dada/sis,kiongozi etc.)"
 
Mimi sasa hivi kumpa shikamo mtu mpaka ni hakikishe ana mvi kabisa naziona na au angalau awe na mtoto wa rika langu au kunizidi.

Zaidi ya hapo hapati mtu shikamo yangu
 
Mi huwa na test siku ya kwanza shimakoo nxt day mambo au habari za asbh, atakayoitikia kimashamudhamu ndo ataendelea nayo until further notice......
 
Mimi sasa hivi kumpa shikamo mtu mpaka ni hakikishe ana mvi kabisa naziona na au angalau awe na mtoto wa rika langu au kunizidi.

Zaidi ya hapo hapati mtu shikamo yangu
Shikamoo kwa mtu wa namna hiyo huwa naitoa kwa moyo mkunjufu kabisaa!
 
 
Hii salamu ya bi maza inabidi irasimishwe iwe salamu ya taifa. shikamoo ni salamu ya kitumwa.
 
Assalam alaykum.

Haina mkubwa wala mdogo inaenea kwa wote
Mkubwa na mdogo mwabamke na mwanaume
 
Na tuna ndugu zetu Wajomba na baba wadogo ambao kwetu ni wakubwa na wanastahili shikamoo lakini wanaoa vibinti vidogo.... Sasa hapo unamsalimia " shikamoo baba mdogo au mjomba" Mke wake je??????

Mimi nadhani hii salami imekaa kitumwa zaidi na ibadilishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…