Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni

Sasa hujasema mkoa gani.

Ila tumia cargo ndio rahisi. Ziko hizi.. unaweza wacheck insta pia

1. Irish Cargo

2. Arusha cargo.

Mimi huwa nawatumia hawa nikiwa na mzigo.

NB: Bei inategemea na ukubwa wa mzigo ila ni kuanzia 5000 mpaka 10000 kwa mizigo mingi..
 
Me nataka transporter wa kupeleka mzigo Uganda (cargo) kama tani 20
 
Nipo Singida mkuu
 
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Kuna makampuni/ watu Wana ofisi za kupokea na kutuma mizigo, ulizie. Karibu Kila mkoa Kuna watu wanaopeleka hiyo mizigo, tembelea kidongo chekundu, unaulizia K
 
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Jaribu hawa jamaa, nawatumiaga kwa mizigo yangu yote
 
Attachments

  • 54FB9C65-D12D-42AD-BC04-EBC07881AB63.jpeg
    108.1 KB · Views: 24
  • 44321BD7-F049-497B-9B6E-99AC3E761E41.jpeg
    129.2 KB · Views: 25
Jacobs wapo mitaa ya jangwani kkoo ,wanajitahidi
Hiyo ndio kampuni naitumia siku zote hata jana imenisafirishia mzigo mkubwa sana from Kariakoo mpaka huku mkoa wa?? Mzigo ulipakiwa juzi jioni nimepokea jana saa 8 mchana... Ila ungefika asubuhi Changamoto ni mvua kuathiri barabara.
 
Nimeshachukua namba zako nitakutafuta..
 
Nitakucheki mkuu.πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…