Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Sasa hujasema mkoa gani.
Ila tumia cargo ndio rahisi. Ziko hizi.. unaweza wacheck insta pia
1. Irish Cargo
2. Arusha cargo.
Mimi huwa nawatumia hawa nikiwa na mzigo.
NB: Bei inategemea na ukubwa wa mzigo ila ni kuanzia 5000 mpaka 10000 kwa mizigo mingi..