ShukraniKaribu sana
Mfano mikoa ya kanda ya ziwa kama geita, akina nani wanahusika?Sasa hujasema mkoa gani.
Ila tumia cargo ndio rahisi. Ziko hizi.. unaweza wacheck insta pia
1. Irish Cargo
2. Arusha cargo.
Mimi huwa nawatumia hawa nikiwa na mzigo.
NB: Bei inategemea na ukubwa wa mzigo ila ni kuanzia 5000 mpaka 10000 kwa mizigo mingi..
Geita akina nani wanahusika?🙏🙏🙏
Kariakoo Kuna transporter zinapeleka mizigo nzima na mataifa jirani kama Kenya, Congo, Zambia, Zimbabwe na Malawi
Unafuu inategemea na mzigo wenyewe kama
Kama Kuna mtu yeyote ana uhitaji wa kujua transporter ya mkoani kwani anicheki au areply kupitia hapa ntampa maelekezo ya ilipo na mawasiliano yao
MADEKENYA transporterGeita akina nani wanahusika?
MADEKENYA transporterMfano mikoa ya kanda ya ziwa kama geita, akina nani wanahusika?
Haya malizia basi. Ofisi ziko wapii
Asante BroOfizi nying za magari ya kusafirisha mizigo mikubwa yako ilala
Habari zenu
Msaada wadau, nataka kusafirisha vitu vya ndani (kitanda, godoro, kabati, makochi, friji etc) kutoka Dar kwenda Mtwara mjini.
Niwatafute wakina nani/kampuni gani? Vipi gharama zinaweza kuwa kiasi gani? Pia kama kuna ushauri mwingine wowote napokea.
Natanguliza shukrani.
nenda sudan temeke ndipo yalipo magari ya kwenda huko utapa pia nenda kariakoo mtaa wa mchikichi karibu na kasulu hotel kuna cargo ya kwenda huko pia ipo jirani na meza za chinga wanauza matunda ya kukata kwenye visaaniWadau kimya?
sawa kaka nasubiri sim mdauNimeshachukua namba zako nitakutafuta..
Kuna mzigo wangu upo kahama nataka uje Dodoma nitumie cargo ipiMADEKENYA transporter
Kulwa cargo
Keche cargo transport service
Kama mzigo wako unaenda DODOMA, BAHI,CHIKUYU, MANYONI, ITIGI, MGANDU mpaka makongolosi. Watafute GSHINE LOGISTICS AGENCY wanapatikana kariakoo mtaa wa Kongo na Matumbi.Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Masanga transport dar kigoma chap t
Naomba mawasilianoMasanga transport dar kigoma chap tu[emoji817]