Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

Sasa hujasema mkoa gani.

Ila tumia cargo ndio rahisi. Ziko hizi.. unaweza wacheck insta pia

1. Irish Cargo

2. Arusha cargo.

Mimi huwa nawatumia hawa nikiwa na mzigo.

NB: Bei inategemea na ukubwa wa mzigo ila ni kuanzia 5000 mpaka 10000 kwa mizigo mingi..
Mfano mikoa ya kanda ya ziwa kama geita, akina nani wanahusika?
 
🙏🙏🙏

Kariakoo Kuna transporter zinapeleka mizigo nzima na mataifa jirani kama Kenya, Congo, Zambia, Zimbabwe na Malawi

Unafuu inategemea na mzigo wenyewe kama

Kama Kuna mtu yeyote ana uhitaji wa kujua transporter ya mkoani kwani anicheki au areply kupitia hapa ntampa maelekezo ya ilipo na mawasiliano yao
Geita akina nani wanahusika?
 
nyoosha maelezo mkoa ulipo ili tukuelekeze msafirishaji wa mkoani kwako pia tukupe namba wabebaji mzigo kutoka dukan mpaka kwa msafirishaji
 
Kwa mimi huwa nafanya iv

Moja huwa km siwez kusafir na kuja kariakoo bas napiga simu dukan nawapa oda wanafunga mzgo wanapelekwa kwenye roli za mizigo kwaajiri ya kusafilishwa na huwa vitu vyangu vinafika bila ttzo wala makosa

Na km nikisafir mm nauza vifaa vya ujenzi na maji kwaiyo ni ngumu kubabeba na wabeba mizigo so nachofanya nikishanunua na kulipia mzgo huwa nawaachia watu wa dukan kazi ya kuhakikisha mzgo wangu unafika kwenye roli za mizigo kwaajiri ya kisafiri

Kwa upande wangu uwa naona ni salama na ni rahisi kumuachia mtu wa dukan pale kariakoo ndo afanye kaz ya kusafirisha mzgo wangu ad kwa watu wa maroli kwaajiri ya kusafiri

Lakin kitokana na nature ya biashara yangu vifaa ving huwa tunanunua kwa ma wakala/agent moja kw moja kwaiyo wao ndo uchukua majikumu ya kusafilisha na kuhakikisha mzgo umefka
 
Unaenda kufunga mwenyewe mzigo au unaagiza? Kama unaagiza unaemwagiza atajua namna ya kukutumia, hata kama unaenda mwenyewe we waulize wana wa kkoo watakuambia namna ya kusafirisha.

Kuna kapuni za usafirishaji kabisa na kuna ma basi. Kampuni za usafirishaji zina bei nafuu sana kuliko basi. Mimi huwa nasafirisha kwa JM transport (Masama) Dar-Dom. Gharama hutegemea na aina ya bidhaa na ukubwa.
 
Habari zenu

Msaada wadau, nataka kusafirisha vitu vya ndani (kitanda, godoro, kabati, makochi, friji etc) kutoka Dar kwenda Mtwara mjini.

Niwatafute wakina nani/kampuni gani? Vipi gharama zinaweza kuwa kiasi gani? Pia kama kuna ushauri mwingine wowote napokea.

Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu

Msaada wadau, nataka kusafirisha vitu vya ndani (kitanda, godoro, kabati, makochi, friji etc) kutoka Dar kwenda Mtwara mjini.

Niwatafute wakina nani/kampuni gani? Vipi gharama zinaweza kuwa kiasi gani? Pia kama kuna ushauri mwingine wowote napokea.

Natanguliza shukrani.

Wadau kimya?
 
Wadau kimya?
nenda sudan temeke ndipo yalipo magari ya kwenda huko utapa pia nenda kariakoo mtaa wa mchikichi karibu na kasulu hotel kuna cargo ya kwenda huko pia ipo jirani na meza za chinga wanauza matunda ya kukata kwenye visaani
 
Simply Kuna TRANSPOTER..
Mfano.

Dodoma_MUSA/PAULO TRANSPOTER wapo vizuri wapo jangwani jirani na yanga

Iringa/ Njombe_Gerad Transport, doni cargo wapo vizuri TU mzigo unafika kwa salama.

Kilimanjaro/Arusha_ Mfinanga TRANSPOTER wapo vizuri Hawa jamaa unafika mzigo kwa usalamaa..

Kwa uchache wengine wataongezea.
 
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
Kama mzigo wako unaenda DODOMA, BAHI,CHIKUYU, MANYONI, ITIGI, MGANDU mpaka makongolosi. Watafute GSHINE LOGISTICS AGENCY wanapatikana kariakoo mtaa wa Kongo na Matumbi.
Wanakutunzia na kukusafirishia kwa garama nafuu sana
 
Back
Top Bottom