Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Heshima kwenu wadau MMU
Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.
Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba usemi huu haina tofauti tu na kuitwa shemeji ila wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kwamba ukiona shemeji yako anakuita shem darling ujue ana vijielement vya kukupenda hivyo hata ukimtongoza hakatai.
Binafsi huwa najiuliza kwanini watoto wa kike wameongeza neno darling mbele ya shem hatimaye likapatikana neno shem darling
Je, wewe mdau ushawahi kuitwa hivyo na shemeji yako na je huwa unatafsiri vipi pindi anapokuita hivyo?
Karibuni tuweze ku share mawazo yetu.