Huwa unatafsiri vipi unapoitwa shem darling

Inategemea bana wee.

Inawezekana wanakung'onga. Sorry to say 😁😁😁🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️
 
Hao wengine wanaoenda mbali hao ndo Wamesema kweli!

Na huyo Mwanamke wako akiwa na Marafiki wa kukuita shem darling ujue na yeye anawaitaga huko shem darling.

Kwahiyo hapo mzee umewekwa mtu kati, mi nimuone mtu anamwita bwana wangu shem darling atajua hajui

😂 😂 😂
 
Heshima kwenu wadau MMU

Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.

Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba usemi huu haina tofauti tu na kuitwa shemeji ila wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kwamba ukiona shemeji yako anakuita shem darling ujue ana vijielement vya kukupenda hivyo hata ukimtongoza hakatai.

Binafsi huwa najiuliza kwanini watoto wa kike wameongeza neno darling mbele ya shem hatimaye likapatikana neno shem darling

Je, wewe mdau ushawahi kuitwa hivyo na shemeji yako na je huwa unatafsiri vipi pindi anapokuita hivyo?

Karibuni tuweze ku share mawazo yetu.
Wamekuona hauna madhara, wewe ni nyuki wa mashineni, wewe ni nyoka wa maonesho, wewe ni mshika mapembe.
 
Mimi nakula rafiki yao kisirisiri kama bangi hakuna anayethubutu kuniita shem
 
Heshima kwenu wadau MMU

Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike.

Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba usemi huu haina tofauti tu na kuitwa shemeji ila wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kwamba ukiona shemeji yako anakuita shem darling ujue ana vijielement vya kukupenda hivyo hata ukimtongoza hakatai.

Binafsi huwa najiuliza kwanini watoto wa kike wameongeza neno darling mbele ya shem hatimaye likapatikana neno shem darling

Je, wewe mdau ushawahi kuitwa hivyo na shemeji yako na je huwa unatafsiri vipi pindi anapokuita hivyo?

Karibuni tuweze ku share mawazo yetu.
Kuna shem darling

Shem shem

Shemeji/Shemegi

Shem

Shem Akee

Baby shem

(JUA KUTOFAUTISHA HAYO MAJINA[emoji23])
 
Back
Top Bottom