Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Okay. Ila usiachane nae. Muishi miaka mingi pamoja.Ni kweli lakini hata huyu mume naweza kuachana nae pia, ndo maana nikaandika hivyo
Ni mategemeo yangu kifo ndo kitutenganishe ila ya kesho hatuyajui chaliiOkay. Ila usiachane nae. Muishi miaka mingi pamoja.
Ni kweli. Tuombe Mungu ajalie kila lenye heri.Ni mategemeo yangu kifo ndo kitutenganishe ila ya kesho hatuyajui chalii
Kwangu huwa ni rahisi sana huwa nikimchoka demu wangu nirahisi sana kumuacha. Nampa two options ambazo lazima nitamuacha tu kwa vyovyote.
Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Acha kuwatunza watu kama wake zako mwonyeshe mtu girlfriend hatoganda sasa akiamua kuviuza na gharama za kila siku?Nilishajikuta na mikasa ya mara kwa mara mademu kungβangβania ghetto!kwahiyo akiniganda kama ruba huwa natulia nae nikimchoka naanza kununua vitu ghetto lingine nikimaliza nasepa zangu kimya kimpya sichukui hata kijiko
Wa jamaaaa haaaa hii kali!Kwangu huwa ni rahisi sana huwa nikimchoka demu wangu nirahisi sana kumuacha. Nampa two options
Haa siku hizi wanang'ania ati wanataka kuwa mchepuko wa kudumu au permanent sidechick!Uhawara hauna talaka.
Tabia mbaya hiyo dada angu [emoji85][emoji85]Ni kupunguza mawasiliano mwisho mtu anajiongeza mwenyewe
HahaaaTabia mbaya hiyo dada angu [emoji85][emoji85]
Badae nitakuchek usijali. [emoji28][emoji28][emoji28]Hahaaa
Halafu nimekumisije we dogo, tatizo unamtenga sana dadako
Kumbe ndo maana uliniacha πππ²Ni kupunguza mawasiliano mwisho mtu anajiongeza mwenyewe
JamaniKumbe ndo maana uliniacha [emoji849][emoji849][emoji44]
Sio wewe tu πHii mbinu hii huwa inanitoa relini mapema. Naihesabu kama dharau...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ndio mnaosababisha wanaume tunaitwa mbwa bila sababu......
Shukrani sana walau nimepata gia ya kumbwaga mtu.Nikimchoka hawala,naingia whatsapp status nampost mwanangu + neno tamu "nakupenda mwanangu".Kinachofuata maswali ya hawala;huyo ni mwanao? Mbona hukunambia? Una mke eenh?...
imeisha hiyo. !![emoji23][emoji1]