Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi

Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume
Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha

Kwa mfano unaweza kujichanganya ukamzaba Kibao na kumuumiza mkeo na kweli ukagundua hili ni kosa

Kwetu Kanda ya ziwa wanaume Huwa tunaomba hivi msamaha bila kutamka neno nisamehe

1. Kumnunulia zawadi labda nguo mpya, simu n.k
Hapa mwanamke atagundua mume wake anamwomba msamaha hatahitaji atamke samahani.

2. Kuwahi kurudi nyumbani
Kama ulikuwa unamkwaza kurudi usiku, Sasa badala ya kumkosea Sasa utatumia week ya kumjali na kufika nyumbani saa 11 jioni

3. Kuongeza Kwa upole

4. Kuleta mboga ya maana

5 kupiga show ya maana kila usiku

Kama ulikuwa hujikamui ndo baada ya. Kugundua umemkosea Sasa jitahidi upige moto wa kugombea radhi

NB: hapa ni Mila zetu watu wa Kanda ya ziwa, ambao hatutamki samahani labda wakuuwe

Vipi wewe binafsi Huwa unatumia mbinu Gani kuomba samahani Kwa mwenza wako
 
Nilitaka kwenda huko nimehairisha, yani unizabue mkofi mchana, maumivu hayajapoa na usiku unizabue tena (kwichy kwichy) Eti ndio unaomba msamaha.!!! 😹😹😹

Mashavu yote mawili yanapewa kipigo kwa siku moja mxiewww!! 🤣
 
Eti upo kwenye ndoa... ndoa ni heshima cute🥴
 
images (2) (1).jpeg
 
Nilitaka kwenda huko nimehairisha, yani unizabue mkofi mchana, maumivu hayajapoa na usiku unizabue tena (kwichy kwichy) Eti ndio unaomba msamaha.!!! 😹😹😹

Mashavu yote mawili yanapewa kipigo kwa siku moja mxiewww!! 🤣
Unataka upigwe na Nini tena
 
Mi hadi naoa sijawahi muona mzee wangu akiomba msamaha wala kununua hizo zawadi unazo sema mkuu.
Daima nilikuwa nasikia anasema nawewe unaongea sana jambo lenyewe dogo tu.Hapo msure kaomna msamaha 100%

Mimi nikiona nimeyakanyaga na nyamaza tu. Halafu nikiona sasa hapa hasira imemshuka namwambia
wee nawe unaongea sana jamani yaani hujanisikiliza hata mimi niseme basi yaishe bana haina maana kuendelea kuongea kitu kilekile.
 
Back
Top Bottom