Juzi niliona mswaki wa jirani yangu vidude vyote vimelala kiasi kwamba hadi aibu ila ye hajali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umetisha mkuu
Aaaa kwani haoni hata kujifunza kwa wenzieMuelimishe juu ya Afya ya kinywa utamsaidia kuepukana na magonjwa ya ovyo ovyo kama fungus mdomoni
Huwa inapotea tu nanunua mwengine,sijawahi kuutumia mpaka kuniishia kabisa.Kwa kawaida mswaki wako huwa unaisha baada ya muda gani?
Sikuizi miti mingine sumu nisije jishaua na chukua mti nasugua meno yangu mwishowe yanaanza kuanguka kama embe zilizoiva mtiniPunguzeni pia matumiz ya miswaki ya madukani japo tu kisasa zaidi ila mswaki wa miti ni dawa tosha kwa kinywa na meno yako
Mkuu, uwe unanunua zile za Colgate. Zinauzwa 1500 kwa mmoja. Angalau zinajitahidi kulinganisha na nyinginezo.Miswaki ya siku hizi ya kichina haikai muda mrefu top mwezi mmoja tu ishaisha nyuzi zake zile
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sikuizi miti mingine sumu nisije jishaua na chukua mti nasugua meno yangu mwishowe yanaanza kuanguka kama embe zilizoiva mtini