Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

Mi nataka badili kila siku 14 au nisipoutumia kwa siku 2 tu Kama sipo nikirudi natumia mpya.... Au nikikuta umehamishwa nilipouweka nachukua mpya......

Vocha uweke ya 3000 kila siku ushindwe mswaki wa 2500 kwa siku 14
 
Mie wangu hata ukidondoka nauokota nauosha kazi inaendelea!

Yaan mpaka uvunjikee ndo nanunua mwingine[emoji57] [emoji57]
 
Ukinianguka tuu,ndio mwisho wake tena sehemu kama za maliwatoni ila kama ni kwenye mchanga laini laini ntausuuza tuu na maji au kuuloweka kwenye maji moto basi,..sibadili hovyohovyo[emoji85] [emoji85]
 
Mi sikumbuki,ila umekwisha na kila siku nakumbuka unahitaji kuubadilishwa ninapokuwa naweka dawa ya meno,baada ya hapo huwa nashahau,itabidi nianze kwenda nao kazini hii itanisaidia kukumbuka...
 
Miezi mitatu unatakiwa ubadilishe utupe ununue mwingine
 
Nautumia mpaka uanguke ndo nabadili...
Hili ni janga la wengi naona...

images
 
Mimi karibu miaka mittu nimebadilisha mitatu hii noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado natumia mswaki wa mwaka jana[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom