Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

Wasije niuzia mti wa moarobaini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa, kuwa makini
Sisi tunaoijua miti hatuna shida
 
Nimecheka sana duh nikazani umeuona mswaku wangu ndo ukauliza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sasa wangu naona nibadilishe niliununua cargary city wakati najiandaa kurudi bongo..
maana huu ni mwaka wa 11 unasepa sijabadilisha na haujabadilika kama nimeununua juzi [emoji13] [emoji13] ubora wake naona umipitiliza kwa kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Me pia wakwangu unatimiza miaka miwili kesho halafu bado mpyaaaaa sasa kuutupa ni uharibifu .[emoji2] [emoji2]
 
Sabuni ya unga INA nn?
 
binafsi sina muda rasmi... natumia mpaka pale ninapohisi umechoka au umedondoka bafuni... ila wataalaam wanashauri mswaki unatakiwa utumiwe kwa mwezi mmoja tu
 
Mmmh. . Hata hyo miez mitatu ni mingi jamani.
Mi kila mwezi nabadili kwakweli.
 
Nina mswaki wangu wa Colgete una mwaka wa tatu sasa na haujatoka hata brush moja wala hazijakunjika...!

Kusema ukweli huu mswaki ni kiboko asee...

Madaktari waendelee na ushauri wao...mi sina mpango wakubadili mswaki kwa sasa...!
 
Nina mswaki wangu wa Colgete una mwaka wa tatu sasa na haujatoka hata brush moja wala hazijakunjika...!

Kusema ukweli huu mswaki ni kiboko asee...

Madaktari waendelee na ushauri wao...mi sina mpango wakubadili mswaki kwa sasa...!
Huo mswaki ni noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…