Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Kabisa Mkuu huwa nautizima siumalizi...Huo mswaki ni noma sana.
kiasi cha magadi kama ukikosa mgadi halisi 7bu magadi sa hivi yamekuwa adimuSabuni ya unga INA nn?
Kama mm bingwa wa kusahau bafuniHuwa nabadilisha ukianguka bafuni ama ukinyonyoka vinyweleo ama ukikatika! Inaeza kua hata mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ni janga la wengi naona...Nautumia mpaka uanguke ndo nabadili...
Hiyo ndo mizuri inamlazimisha mtu kubadilisha hata kama alikuwa hapendi.Miswaki ya siku hizi ya kichina haikai muda mrefu top mwezi mmoja tu ishaisha nyuzi zake zile