Hakuna haja ya kwenda kijijin mkuu....unatamani...unamtia...unasepa.Tushawachoka na vilio vyenu kila siku. Kama hamtutaki mtuache, vijiji ni vingi kaoeni huko.
Vitukuu vyako vitarithi tabia yako. Unajipongeza uzinzi? Pole sana.Hakuna haja ya kwenda kijijin mkuu....unatamani...unamtia...unasepa.
Yaani hutakiwi kumweka mtu yeyote kwenye moyoWanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
Haaa haaa haaa ngoja nimuite sud brawon aje achuku u heard hapaTushawachoka na vilio vyenu kila siku. Kama hamtutaki mtuache, vijiji ni vingi kaoeni huko.
Mkuu usiweke moyo hata kidogo,weka akili tu.Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!