Huwajui Vizuri Wanawake Wa Mjini Wewe??

Huwajui Vizuri Wanawake Wa Mjini Wewe??

Tushawachoka na vilio vyenu kila siku. Kama hamtutaki mtuache, vijiji ni vingi kaoeni huko.
 
Tushawachoka na vilio vyenu kila siku. Kama hamtutaki mtuache, vijiji ni vingi kaoeni huko.
Hakuna haja ya kwenda kijijin mkuu....unatamani...unamtia...unasepa.
 
Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
Yaani hutakiwi kumweka mtu yeyote kwenye moyo

Kichwa chenyewe tu hakiwezi kuingia sembuse jitu zima

Hahaha eti nimekuweka moyoni ni uongo mtupu
 
Ivi mkuu bdo watu wanapenda kwani? Piga shoo sepa na kijiji.Tafuta mwngne tena paka ujaze mabasi ma5 ya mwendokasi na bajaj3
 
Kama ilivyo kwa wanaume wa mjini.
Usiwe nae mmoja,siku akikuacha utahama mji.
 
Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
Mkuu usiweke moyo hata kidogo,weka akili tu.
 
Back
Top Bottom