Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi!
Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa
Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu sana kiasi cha mtu yeyote kuanza kufikiri nje ya box
Viongozi na wanachama wengi wa chama hiki, wameonja joto ya jiwe, Je,hii yote ni kukifanya chama hiko, watu waogope kukiunga mkono na kwamba huwenda kuna agenda ya siri isiyofahamika kwa wengi kwamba, chama hiko kuundwa kwake ndani yake kuna siri, na hiyo siri inafanya kiwekewe mizengwe ili kisiweko ndoto yoyote itakayokifanya kishike hatamu?
Najiuliza tu, maana siamini ninachokiona!
Kati ya watu mashuhuri ambao inasemekana, waliwekewa angalizo la kutokupewa Ikulu na Baba wa Taifa, ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu ndugu Edward Lowasa (RIP) kutokana na kuwa na ukwasi wenye mashaka
Je Chadema, kutokana na mambo tunayoyaona, mara kuenguliwa kwa Wagombea wake na kuwekewa mapingamizi, Je, hii ni ishara gani
Msingi wa Chadema na kuundwa kwake, Je kuna hila ndani yake kuihusu nchi yetu ama ni uwoga wa watawala?
Mwenye kujua haya, tafadhari