Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

Huyo baba yenu mnayemwita baba wa taifa Huwa mnamuona kama Mungu?huyo baba yenu katuharibia sana hii Nchi Hadi Leo athari za uharibifu wake Bado hazijaisha.kafanya mambo mengi ya hovyo sana
 
Tatizo ni vinasaba, Chadema ina elements za Lutheran ilhali ikulu ina elements za Roman (wazazi wa Islam hii ya bakwata). Sasa hapo usitegemee watu kukubali kubambikiwa mtoto... wapo tayari kuwaprinces Diana Chadema.
 
Mwalimu alishaikataa CCM, ikafikia hatua ya kusema CCM si baba yangu wala si mama yangu.

Hapo hapo CCM ikapata laana hadi leo - kuua, kuteka, kutesa kwao ni kama uji na mgonjwa.
 
Huyo baba yenu mnayemwita baba wa taifa Huwa mnamuona kama Mungu?
Kwani maana ya baba wa Taifa ni nini? Jee unajua Kuna tofauti kati ya Taifa na Nchi?

Kwa nini unaona watu wanamuona kama Mungu? Halafu kwani wewe Kwa tafsiri yako Mungu ni nini?
 
Tatizo ni vinasaba, Chadema ina elements za Lutheran ilhali ikulu ina elements za Roman (wazazi wa Islam hii ya bakwata). Sasa hapo usitegemee watu kukubali kubambikiwa mtoto... wapo tayari kuwaprinces Diana Chadema.
Umeandika undombwindo kabisa😆😃
 
Umeandika undombwindo kabisa😆😃
1st president: Roman
2nd President: Islamic
3rd president: Roman
4th president: Islamic
5th President: Roman
6th president: Islamic
You Don't need PHD status to unpuzzle presidential trends in our beloved nation.
 
1st president: Roman
2nd President: Islamic
3rd president: Roman
4th president: Islamic
5th President: Roman
6th president: Islamic
You Don't need PHD status to unpuzzle presidential trends in our beloved nation. By the way, Nyerere akipigania uhuru nyuma akiwa na backup ya masista, mapadri, mashekhe unajua waluther (Germans) walikuwa wanamback up nani? Same kwa Anglican (England)... ukisikia ukoloni mambo leo unajua ni hadithi za kusadikika sio!
 
1st president: Roman
2nd President: Islamic
3rd president: Roman
4th president: Islamic
5th President: Roman
6th president: Islamic
You Don't need PHD status to unpuzzle presidential trends in our beloved nation.
Is just a coincidence and not a formula.. I know it fit on your conspiracy theory, but it just a mere coincidence.
 
Is just a coincidence and not a formula.. I know it fit on your conspiracy theory, but it just a mere coincidence.
Just to cement this predictable "coincidence" as you identify it, even the current vice president used to be a cathoric Seminarian...its just so absurd that, with diverse range of religious beliefs in our country only the two beliefs get the most of it...
 
wakati wa uhai wake baba wa taifa? Chadema ilikuwepo?
Ilikuwepo na Nyerere huyo aliitolea maoni kuwa katika Vyama vyote vya upinzani ni Chadema pekee aliona ina sera za kueleweka. Chadema ilianzishwa mwaka 1992 na Nyerere alifariki 1999.
 
Ilikuwepo na Nyerere huyo aliitolea maoni kuwa katika Vyama vyote vya upinzani ni Chadema pekee aliona ina sera za kueleweka. Chadema ilianzishwa mwaka 1992 na Nyerere alifariki 1999.
I recall that, sasa mtoa post anaposema mwalimu alikikataa how?
 
Back
Top Bottom