Hakuna mwenye akili anaemkumbukaMwacheni Mwendazake apumzike, alidhihakiwa sana,saiv mnamkumbuka tena,hao wamachinga wapambane na hali zao.
Serikali inamkumbuka kiongozi wake,sembuse wewe okoroo hakuna anaekujua.Kigogo wa Twitter alikua anawalisha chuki dhidi ya magufuli wajinga wajinga km nyie,na saiv kawahama tena 😂Hakuna mwenye akili anaemkumbuka
Mmghhh [emoji102][emoji3517]Jisemee nafsi yako usiwasemee wengine boss, Rais Magufuli atakumbukwa sana kwa upendo wake wa dhati kwa watanzania wote
Jisemee nafsi yako usiwasemee wengine boss, Rais Magufuli atakumbukwa sana kwa upendo wake wa dhati kwa watanzania wote
Hakuwa na upendo wowote lilikuwa jitu katili na lenye roho mbaya.Jisemee nafsi yako usiwasemee wengine boss, Rais Magufuli atakumbukwa sana kwa upendo wake wa dhati kwa watanzania wote
Jisemee nafsi yako usiwasemee wengine boss, Rais Magufuli atakumbukwa sana kwa upendo wake wa dhati kwa watanzania wote