Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
UyoleWa nchi gani uyo
uyo simfaamu, akihamia Mwakibete nijulishe nije nimuone alivokua m-cuteUyole
Yupo kisura wa mbeyaUJANA MAJI YA MOTO.
HADI MAKACHERO AKINA MEMBE WANAKUFA.
DOGO ANATUANGUSHA SANA HUYU.
NIKISIKIA MBEYA KUNA SHOGA MNIAMBIE SITOKUBALI KUONA MNYAKYUSA ANAKUWA PUNGA.
Ya pemba [emoji28]Kuna taarabu ya zamani sina uhakika kama ya Kenya au Zanzibar ina maneno '... Kujiremba na kusuka nyele ni fahari ya bwana....' nafikiri hata kwa huyu nia ni hiyo hiyo!
Mzuri kweny picha kutana nae live uone hizo yeboyebo zilivosanda.
WeeehMzuri kweny picha kutana nae live uone hizo yeboyebo zilivosanda.
Dahhhh!!
Nakwambia kweliWeeeh
Yaan wee ushawahi kumuona live akiwa hana make upNakwambia kweli