Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

🤓🤓🤓🤓 Daah makaveli10 hiko kichwa.. walimu walipata tabu sana
Dah.. Usinikumbushe kabisa mzee, misala mingi halafu class nasongesha vizuri, mwalimu wananikubali inabidi wa nitetee tu, form 1 nikatimuliwa baada ya kukata makofi mwalimu, A level nikamtongoza ticha wangu wa physics 😂
Primary usipime, watoto, sijui watu gani nimo, matokeo mazuri nimo, Wali u wakaniachia tu 🤣, sura ya pole ila mtukio sasa 🤣😂
 
Back
Top Bottom